-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
BWANA, Bwana wako na Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi, Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe cha kulevya-levya, hilo bakuli la kikombe cha hasira yangu; hutakinywea tena;
-
-
Faraja kwa Watu wa MunguUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Baada ya kumtia Yerusalemu nidhamu, Yehova yu tayari kumwonyesha rehema na roho ya kusamehe.
25 Sasa Yehova atageuza hasira yake mbali na Yerusalemu amwelekezee Babiloni. Babiloni atakuwa amekwisha kubomoa Yerusalemu kabisa na kumwaibisha. (Zaburi 137:7-9) Lakini Yerusalemu hatalazimika kunywa kutokana na kikombe hicho tena mikononi mwa Babiloni wala mwa washirika wake.
-