Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Amkweza Mtumishi Wake wa Kimesiya
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Lakini kifo chake kina nguvu za kufunika dhambi; kinaandaa msingi wa kuwarudishia hali njema wale wanaotanga-tanga katika makosa na dhambi, kuwasaidia waweze kupata amani pamoja na Mungu.

  • Yehova Amkweza Mtumishi Wake wa Kimesiya
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Wakati mmoja sisi sote tulipotea katika dhambi, ‘kama kondoo, tukipotea njia.’ (1 Petro 2:25) Hata hivyo, Yehova alimtumia Yesu kuandaa ukombozi kututoa katika hali yetu yenye dhambi. Aliweka maovu yetu ‘juu yake Yesu.’ Yesu asiye na dhambi aliteseka kwa hiari ili alipie adhabu ya dhambi zetu. Kwa kuteseka isivyostahili katika kifo cha aibu juu ya mti, alifanya iwezekane sisi tupatanishwe na Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki