-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
2. (a) Inaelekea kwamba maneno ya Isaya sura ya 57 yanatumika wakati gani? (b) Hali ya wenye haki ikoje siku za Isaya?
2 Sehemu hii ya unabii wa Isaya inaonekana kuwa inatumika katika siku za Isaya mwenyewe. Fikiria jinsi ambavyo uovu umekolea sasa: “Mwenye haki hupotea, wala hakuna atiaye hayo moyoni; na watu watauwa huondolewa, wala hakuna afikiriye ya kuwa mwenye haki ameondolewa asipatikane na mabaya.
-
-
Yehova Ahuisha Roho ya WanyenyekevuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mtu mwenye haki akianguka, hakuna anayejali. Akifa mapema mno, watu hawajali.
-