-
Watiwa Nguvu na Mjumbe Kutoka Kwa MunguSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
17, 18. Danieli alisaidiwaje mara ya pili, na hilo lilimwezesha kufanya nini?
17 Badala ya Danieli kuchochewa na tazamio la kupokea ujumbe wenye kusisimua kama huo, yaonekana kwamba mambo aliyosikia yalikuwa yamemwathiri sana. Simulizi lataarifu hivi: “Alipokwisha kusema nami maneno hayo, nikauelekeza uso wangu chini, nikawa bubu.”
-