Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wafalme Washindani Wakaribia Mwisho Wao
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • MISRI HAIOKOKI

      18, 19. Mfalme wa kusini alihisije uvutano wa mpinzani wake?

      18 Malaika wa Yehova aendelea kusema hivi: “Naye [mfalme wa kaskazini] ataunyosha mkono wake juu ya nchi hizo, hata na nchi ya Misri haitaokoka.

  • Wafalme Washindani Wakaribia Mwisho Wao
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
    • (Danieli 11:42, 43) Hata mfalme wa kusini, “Misri,” hakuokoka matokeo ya sera za upanuzi za mfalme wa kaskazini. Kwa kielelezo, mfalme wa kusini alishindwa vibaya huko Vietnam.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki