Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 1
    • Huku akihisi kuwa hana uwezo wa kusaidia, Yona alienda chini kwenye sehemu za ndani kabisa za meli hiyo na kupata mahali pa kulala. Akalala fofofo.b

  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 1
    • Yona 1:5

  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 1
    • b Tafsiri ya Septuajinti inakazia jinsi Yona alivyolala fofofo kwa kusema kwamba alikuwa akikoroma. Hata hivyo, badala ya kuona usingizi wa Yona kuwa ishara ya kutojali, tunapaswa kukumbuka kwamba nyakati fulani watu walioshuka moyo wanapatwa na usingizi. Yesu alipokuwa na uchungu mwingi katika bustani ya Gethsemane, Petro, Yakobo, na Yohana walikuwa “wakisinzia kwa huzuni.”—Luka 22:45.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki