Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mimi Nakata Rufani kwa Kaisari!”
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Desemba 15
    • Feliksi hangelazimishwa kutoa hukumu, na mbali na kutaka kuwapendeza Wayahudi, alikuwa na sababu nyingine ya kuchelewesha mambo—alifikiri kwamba Paulo angemhonga.—Matendo 24:10-19, 26.b

  • “Mimi Nakata Rufani kwa Kaisari!”
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Desemba 15
    • b Bila shaka jambo hilo lilikuwa kinyume cha sheria. Kichapo kimoja chasema hivi: “Chini ya sheria inayohusu kutoza pesa kwa nguvu, Lex Repetundarum, mtu yeyote aliyekuwa na mamlaka au usimamizi fulani hakuruhusiwa kuomba au kukubali hongo ili kumfunga au kumfungua mtu, kumhukumu au kutomhukumu au kumwachilia mfungwa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki