-
“Mimi Nakata Rufani kwa Kaisari!”Mnara wa Mlinzi—2001 | Desemba 15
-
-
Aliposhindwa kuelewa hoja ambazo Paulo alitoa baadaye akiwa mbele ya Agripa, Festo alipaza sauti na kusema: “Unashikwa na kichaa, Paulo! Kusoma kwingi kunakusukuma kuingia katika kichaa!”
-