-
WanawakeKutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
Kwa maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke alitoka katika mwanamume;
-
-
WanawakeKutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
-
-
Mtu wa kwanza, Adamu, hakutokea kwa sababu ya kuzaliwa na mwanamke, bali aliumbwa na Mungu. Alipokuwa akimuumba Hawa, Mungu alitumia ubavu kutoka kwa Adamu, na Mungu akasema kwamba alipaswa kuwa msaidizi wa Adamu. Kwa hiyo mwanamume, aliyefanyizwa kwanza, alipewa cheo cha kuwa kichwa.
-