-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 15
-
-
Na bado msiwe mkimwona yeye kuwa adui, bali endeleeni kumwonya kwa upole kama ndugu.”—2 Wathesalonike 3:6, 13-15.
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 15
-
-
Paulo aliandika kwamba hao bado walikuwa “ndugu,” waliopasa kuonywa kwa upole na kutendewa kama ndugu.
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 15
-
-
Bila shaka hilo halingemaanisha kumwepuka kabisa mtu huyo, kwa kuwa bado walipaswa ‘kuendelea kumwonya kwa upole kama ndugu.’ Wangeendelea kuwa na ushirikiano wa Kikristo naye kwenye mikutano na labda kwenye huduma. Wangeweza kutumaini kwamba ndugu yao angeitikia onyo la upole na kuacha njia zake zenye kusumbua.
-