-
Tito—“Mfanyakazi Mwenzi kwa Ajili ya Masilahi Yenu”Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 15
-
-
Maandiko hayaonyeshi Tito aliondoka Krete lini. Alikuwa huko kwa muda mrefu vya kutosha hivi kwamba Paulo alimwomba awaruzuku Zena na Apolo, ambao walikuwa wametua huko wakati usiotajwa kimahususi wakiwa safarini.
-