-
Jihadhari na “Sauti ya Wageni”Mnara wa Mlinzi—2004 | Septemba 1
-
-
Kama mtume Petro anavyosema, wao hutumia “maneno yasiyo ya kweli,” yaani, maneno yanayoonekana kuwa ya kweli lakini ambayo kwa kweli hayafai.—2 Petro 2:3.
-
-
Jihadhari na “Sauti ya Wageni”Mnara wa Mlinzi—2004 | Septemba 1
-
-
Nia yao ni nini? Petro anaongeza kusema: “Watawatumia ninyi vibaya.” Kwa kweli, hata waasi-imani wajitetee jinsi gani, lengo hasa la watu hao wanaojipenyeza mahali bila kibali ni “kuiba na kuua na kuharibu.” (Yohana 10:10) Jihadhari na wageni hao!
-