-
Mtumikie Mungu wa UhuruMnara wa Mlinzi—2012 | Julai 15
-
-
Absalomu alikuwa mwanamume mwenye sura nzuri sana. Hata hivyo, baada ya muda, aliruhusu pupa ya mambo makuu ijae katika moyo wake, kama Shetani, kwa kuwa alianza kutamani kiti cha ufalme cha baba yake, ambacho hakuwa na haki ya kuchukua.a
-
-
Mtumikie Mungu wa UhuruMnara wa Mlinzi—2012 | Julai 15
-
-
a Ilikuwa baada ya kuzaliwa kwa Absalomu, ndipo Mungu alipompa Daudi ahadi kuhusu “uzao” ambao ungetokea wakati ujao na kurithi kiti chake cha ufalme. Kwa hiyo, bila shaka Absalomu alijua kwamba Yehova hakuwa amemchagua yeye kurithi kiti cha ufalme cha Daudi.—2 Sam. 3:3; 7:12.
-