Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ijapokuwa kazi ya kuhubiri haikuwa imetia mizizi, gazeti la Mnara wa Mlinzi la Desemba 1, 1925, liliripoti: “Vijitabu The Harp of God, The Desirable Government na The World Distress vilikuwa vimetafsiriwa na kuchapishwa katika lugha ya wenyeji . . . Vimesambazwa kwa wingi nao Waalbania wanaikubali kweli kwa shangwe.”

  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Pia kitabu The Harp of God (Kinubi cha Mungu) kilisomwa sana, licha ya makosa fulani katika tafsiri. (Kwa mfano, mwanzoni kichwa cha kitabu hicho kilitafsiriwa, The Guitar of God [Gita ya Mungu].) Hata hivyo, kitabu hicho kiliwasaidia Waalbania wengi kujifunza kweli za Biblia na kuimarisha imani yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki