Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wakati huohuo huko Boston, hotuba za watu wote zilikuwa zikitolewa katika lugha ya Kialbania Jumapili asubuhi, kukiwa na wahudhuriaji 60 hivi. Waliohudhuria walikuwa wanafunzi wenye bidii waliopenda sana kusoma mabuku ya Studies in the Scriptures. Pia kitabu The Harp of God (Kinubi cha Mungu) kilisomwa sana, licha ya makosa fulani katika tafsiri. (Kwa mfano, mwanzoni kichwa cha kitabu hicho kilitafsiriwa, The Guitar of God [Gita ya Mungu].) Hata hivyo, kitabu hicho kiliwasaidia Waalbania wengi kujifunza kweli za Biblia na kuimarisha imani yao.

  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • na nchini Marekani kulikuwa na ndugu 30 hivi Waalbania, waliotamani sana kuwasaidia watu wa kwao kupata ujuzi wa kweli.

  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka huohuo kitabu Songs of Praise to Jehovah, cha Kialbania kilichapishwa huko Boston, nao akina ndugu wa Albania wakajifunza muziki na maneno ya nyimbo hizo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki