-
Kuhani Mkuu Aliyemhukumu YesuMnara wa Mlinzi—2006 | Januari 15
-
-
Kufikia wakati wa Kayafa, kuhani mkuu ndiye aliyekuwa kiongozi wa kisiasa wa Wayahudi. Anasi alipewa cheo hicho na Kirenio, gavana Mroma wa Siria, katika mwaka wa 6 au wa 7 W.K.
-
-
Kuhani Mkuu Aliyemhukumu YesuMnara wa Mlinzi—2006 | Januari 15
-
-
Valerio Grato, gavana wa Yudea, alimwondoa Anasi katika cheo hicho yapata mwaka wa 15 W.K.
-