Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Injili za Apokrifa—Je, Zina Ukweli Uliofichwa Kumhusu Yesu?
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 1
    • “HUU ni uvumbuzi mkubwa. Watu wengi watakasirika.” “Habari hii inabadili historia ya Ukristo wa mapema.” Maneno hayo yenye kuchochea fikira yalisemwa na wasomi fulani waliofurahi kupata maandishi ya “Injili ya Yuda,” yaliyodhaniwa kwamba yalikuwa yamepotea kwa zaidi ya karne 16 (yameonyeshwa hapo juu).

  • Injili za Apokrifa—Je, Zina Ukweli Uliofichwa Kumhusu Yesu?
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 1
    • “Injili ya Yuda” ambayo ilipatikana hivi karibuni inaonwa kuwa kati ya injili za Kignosti. Inamtaja Yuda kwa njia inayofaa kama mtume pekee ambaye alimjua Yesu kwa undani. Mtaalamu mmoja wa aliyechunguza injili hiyo alisema kwamba inamfafanua Yesu kuwa “mwalimu na mfunuaji wa hekima na ujuzi, bali si mwokozi aliyekufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu.” Injili zilizoongozwa na roho ya Mungu zinafundisha kwamba Yesu alikufa ili kuwa dhabihu kwa dhambi za ulimwengu. (Mathayo 20:28; 26:28; 1 Yohana 2:1, 2)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki