Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Svalbard—Eneo Lenye Pwani Baridi
    Amkeni!—2007 | Februari
    • Tunapopanda milima hiyo iliyofunikwa na theluji, anatuambia kuhusu maua maridadi ambayo hukua katika eneo hilo katika miezi yenye joto zaidi. Kwa kweli, kuna mimea mingi sana huko Svalbard kwani kuna aina 170 za mimea inayotoa maua. Maua ya asili ya eneo hilo ni kama vile ua lenye rangi nyeupe au manjano linaloitwa mpopi wa Svalbard na ua la zambarau lenye harufu nzuri liitwalo saxifrage.

  • Svalbard—Eneo Lenye Pwani Baridi
    Amkeni!—2007 | Februari
    • [Picha katika ukurasa wa 25]

      Mimea mingi inayotokeza maua, kama vile ua la zambarau linaloitwa “saxifrage,” huendelea kuishi katika hali mbaya ya hewa ya Aktiki

      [Hisani]

      Knut Erik Weman

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki