-
Je, Kuna Njia Fulani Hususa Tunayopaswa Kumtumikia Mungu?Mnara wa Mlinzi—2008 | Juni 1
-
-
Waakiolojia wamepata sanamu nyingi za udongo huko Yerusalemu na Yuda, hasa katika magofu ya nyumba za watu binafsi. Nyingi kati ya hizo, zilionyesha wanawake wakiwa uchi na matiti yaliyofanywa kuwa makubwa. Wasomi wanasema kwamba sanamu hizo zinafanana na miungu ya kike Ashtorethi na Ashera. Sanamu hizo zinasemekana kuwa “hirizi zinazosaidia kutunga mimba na kuzaa.”
-
-
Je, Kuna Njia Fulani Hususa Tunayopaswa Kumtumikia Mungu?Mnara wa Mlinzi—2008 | Juni 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 10]
Sanamu za Ashtorethi kutoka nyumba za zamani za Yudea
[Hisani]
Photograph © Israel Museum, Jerusalem; courtesy of Israel Antiquities Authority
-