-
Aliilinda Familia Yake, Akawaandalia, na AkavumiliaMnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 1
-
-
Hata hivyo, inapendeza kujua kwamba kuna nguvu zilizopita za Herode ambazo zilikuwa zinaongoza mambo. Jinsi gani? Wageni hao walitoa zawadi, na hawakuomba chochote. Yosefu na Maria walishangaa kama nini kupata kwa ghafula “dhahabu na ubani na manemane”—vitu vyenye thamani!
-
-
Aliilinda Familia Yake, Akawaandalia, na AkavumiliaMnara wa Mlinzi—2012 | Aprili 1
-
-
Kwa kuwa wale wanajimu wapagani waliipa familia hiyo vitu vyenye thamani, sasa walikuwa na vitu ambavyo vingewasaidia katika safari iliyokuwa mbele yao.
-