Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Barnaba Yule “Mwana wa Faraja”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Aprili 15
    • Jina lake lenyewe lilikuwa Yosefu, lakini mitume walimpa jina la ziada la kumfafanua ambalo lilipatana sana na tabia yake, yaani, Barnaba, likimaanisha “Mwana wa Faraja.”a (Matendo 4:36)

  • Barnaba Yule “Mwana wa Faraja”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Aprili 15
    • a Kumwita mtu “mwana wa” sifa fulani kulikazia tabia fulani yenye kutokeza. (Ona Kumbukumbu la Torati 3:18, NW, kielezi-chini.) Katika karne ya kwanza, lilikuwa jambo la kawaida kutumia majina ya ziada kuelekeza uangalifu kwenye sifa za mtu. (Linganisha Marko 3:17.) Ilikuwa aina fulani ya kutambuliwa na watu wote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki