Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wahitimu wa Gileadi Wahimizwa “Waanze Kuchimba”
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 15
    • Kisha, mwangalizi wa Idara ya Shule za Kitheokrasi, William Samuelson, akawahimiza wahitimu washikamane na mgawo wao wenye kuheshimika wa kumtangaza Mfalme ambaye anatawala na kuonyesha heshima yao kwa mwenendo wao mzuri.a Sam Roberson, mwangalizi-msaidizi wa Idara ya Shule za Kitheokrasi, aliwahimiza wahitimu hao watafute sikuzote sifa nzuri za wengine. Ikiwa watafanya hivyo, wataweza ‘kuupenda zaidi ushirika mzima wa akina ndugu.’—1 Pet. 2:17.

  • Wahitimu wa Gileadi Wahimizwa “Waanze Kuchimba”
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Februari 15
    • a Idara ya Shule za Kitheokrasi ambayo iko chini ya uangalizi wa Halmashauri ya Kufundisha, inasimamia shule ya Gileadi, shule ya washiriki wa Halmashauri za Tawi, na shule ya waangalizi wanaosafiri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki