Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Vatikani Yajaribu Kuondoa Jina la Mungu Katika Ibada
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • Hati hii inadai kwamba katika tafsiri ya Septuajinti ya Maandiko ya Kiebrania iliyotafsiriwa kabla ya Ukristo, neno la Kigiriki Kyʹri·os, linalotafsiriwa “Bwana,” lilitumiwa badala ya jina la Mungu. Kwa hiyo, ile hati inadai kwamba “kuanzia mwanzo, Wakristo pia hawakutamka kamwe jina la Mungu, au tetragramatoni.” Hata hivyo, kuna uthibitisho ulio wazi wa kwamba Wakristo walitumia jina la Mungu. Katika hati za kwanza-kwanza za Septuajinti, jina la Mungu liliandikwa kwa herufi za Kiebrania, yaani, יהוה.

  • Vatikani Yajaribu Kuondoa Jina la Mungu Katika Ibada
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • [Picha katika ukurasa wa 30]

      Kipande cha “Septuajinti” cha karne ya kwanza W.K. Jina la Mungu lililoandikwa kwa herufi nne za Kiebrania ambazo kwa kawaida zinatafsiriwa YHWH, limetiwa alama

      [Hisani]

      Courtesy of the Egypt Exploration Society

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki