Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Biblia
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
    • Ripoti iliyochapishwa katika mwaka wa 1971 inaonyesha kwamba kuna nakala zipatazo 6,000 zilizoandikwa kwa mkono, zenye Maandiko yote ya Kiebrania au sehemu yake; zilizo za kale kuliko zote ni za karne ya tatu K.W.K.

  • Biblia
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
    • Ripoti iliyochapishwa katika mwaka wa 1971 inaonyesha kwamba kuna nakala zipatazo 6,000 zilizoandikwa kwa mkono, zenye Maandiko yote ya Kiebrania au sehemu yake; zilizo za kale kuliko zote ni za karne ya tatu K.W.K. Kuna nakala zipatazo 5,000 za Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo katika Kigiriki, za kale zaidi ni za mwanzo wa karne ya pili W.K. Pia kuna nakala nyingine za tafsiri za mapema katika lugha nyingine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki