-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Ni kweli, Biblia ilikuwa katika Kislavoni, lugha iliyotangulia Kirusi cha siku ya kisasa. Hata hivyo, kufikia katikati ya karne ya 19, lugha ya Kislavoni ilikuwa haitumiki ila katika ibada za kidini, ambako ilitumiwa na makasisi. Hali kama hiyo ilikuwako Magharibi, ambako Kanisa Katoliki ya Kiroma lilijaribu kuiweka Biblia katika Kilatini pekee lugha ambayo haikutumiwa katika uwasiliano wa kila siku.
-
-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Tafsiri ya kale ya Septuagint ya Kigiriki ilikuwa imekuwa msingi wa kutafsiriwa kwa Maandiko ya Kiebrania katika Kislavoni.
-
-
Hazina Iliyofichika YafunukaMnara wa Mlinzi—1997 | Desemba 15
-
-
Zaidi, viongozi fulani wa kanisa walidai kwamba Kislavoni—lugha ya liturjia—ilionyesha ujumbe wa Biblia vizuri zaidi ya Kirusi.
-