-
Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu MwenyeweMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Steven Byington, wa Ballard Vale, Massachusetts, Marekani, alikuwa pia amefanyiza tafsiri ya Biblia ya Kiingereza cha kisasa ambayo ilitia jina la kimungu mahali palo pafaapo. Watch Tower Society ilimiliki hati ambayo haikuwa imechapwa bado katika 1951 na ikapata haki pekee ya kuchapa katika 1961. Tafsiri hiyo kamili ilichapwa katika 1972. Hadi kufikia 1992, kulikuwa na 262,573 zilizotokezwa.
-
-
Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu MwenyeweMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 607]
Tafsiri ya Byington (1972)
-