Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu Mwenyewe
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Katika 1902 uchapaji wa pekee wa Chapa ya Mistari Sambamba ya Biblia ya Holman ulifanywa kwa mpango wa Watch Tower Society. Ilikuwa na pambizo zilizo pana ambazo ndani yazo kulichapwa marejezo ya mahali katika vichapo vya Watch Tower ambapo mistari mbalimbali ilielezwa, na pia ilikuwa na faharisi ikiorodhesha vichwa vingi vya habari pamoja na mitajo ya Maandiko na marejezo yenye msaada kwenye vichapo vya Sosaiti. Biblia hiyo ilikuwa na maneno ya tafsiri mbili—tafsiri ya King James ikiwa juu ya ile ya Revised Version mahali palipokuwa na tofauti yoyote. Pia ilitia ndani konkodansi yenye kutia mambo mengi iliyofahamisha mtumizi maana mbalimbali za maneno ya lugha ya awali.

  • Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu Mwenyewe
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 606]

      Chapa ya Mistari Sambamba ya Biblia ya Holman, kama ilivyochapwa kwa mpango wa Watch Tower Society katika 1902

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki