-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Watu wengi sana walihitaji misaada huko Bosnia, ambako vita vikali vilikuwa vikiendelea. Kwa upendo, ofisi ya tawi ya Austria ilikuwa imepanga kupeleka misaada, na ndugu wa Serbia wangeweza kupeleka kwa urahisi misaada hiyo katika maeneo ya Bosnia yaliyotawaliwa na Waserbia.
-
-
Nchi Ambazo Zilikuwa Sehemu ya Yugoslavia2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 228]
Kupeleka misaada huko Bosnia
-