Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na wakati alipotwaa ile hati-kunjo, wale viumbe hai wanne na wale wazee ishirini na wanne walianguka chini mbele ya Mwana-Kondoo, kila mmoja akiwa na kinubi na mabakuli ya dhahabu yaliyokuwa yamejaa uvumba, na huo uvumba humaanisha sala za watakatifu.” (Ufunuo 5:8, NW) Kama wale viumbe hai wanne wa kikerubi mbele ya kiti cha ufalme cha Mungu, wazee 24 wanainamia Yesu katika kukiri mamlaka yake. Lakini hao wazee wako peke yao katika kuwa na vinubi na mabakuli ya uvumba.a Na wao peke yao sasa waimba wimbo mpya. (Ufunuo 5:9)

  • “Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na zaidi, wale wazee 24 wanaonyeshwa wakitimiza utendaji wa kikuhani wa kimbingu, uliofananishwa na ule wa makuhani katika Israeli wa kale ambao walimchomea Yehova uvumba katika ile tabenakulo—utendaji ambao ulikwisha wakati Yehova alipoioondolea mbali ile Sheria ya Musa, akiigongomelea penye nguzo ya mateso ya Yesu. (Wakolosai 2:14)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki