-
Kansa ya Matiti Utazamie Nini? Ukabiliane Jinsi Gani?Amkeni!—2011 | Agosti
-
-
Kama katika kisa cha Conchita, mara nyingi kansa ya matiti huanza kama uvimbe usio wa kawaida. Jambo lenye kufariji ni kwamba asilimia 80 hivi ya uvimbe huo si hatari bali ni vifuko vyenye umajimaji.
-
-
Kansa ya Matiti Utazamie Nini? Ukabiliane Jinsi Gani?Amkeni!—2011 | Agosti
-
-
Ili kuchunguza ikiwa uvimbe wa Conchita ulikuwa na kansa, daktari wake alitumia sindano nyembamba kutoa tishu kutoka kwenye uvimbe huo
-
-
Kansa ya Matiti Utazamie Nini? Ukabiliane Jinsi Gani?Amkeni!—2011 | Agosti
-
-
[Sanduku/Picha katika ukurasa wa 24, 25]
DALILI UNAZOPASWA KUANGALIA
Ugunduzi wa mapema ni muhimu, lakini utafiti fulani unaonya kwamba huenda uchunguzi wa matiti na eksirei ya matiti kwa wanawake wachanga isitoe habari sahihi na hivyo kufanya wapate matibabu wasiyohitaji na kuwa na wasiwasi. Hata hivyo, wataalamu wanawahimiza wanawake waangalie mabadiliko yoyote katika matiti yao na mfumo wao wa limfu. Zifuatazo ni baadhi ya dalili unazopaswa kuangalia:
● Uvimbe wowote au kuongezeka kwa unene wa ngozi kwenye makwapa au titi
● Umajimaji wowote unaotoka kwenye chuchu ambao si maziwa
● Mabadiliko yoyote ya rangi au ngozi ya titi
● Chuchu iliyodidimia kwa njia isiyo ya kawaida au inayowasha
-