Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ndugu Zetu na Dada Zetu Ni Akina Nani?
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
    • Unajua majina ya ndugu zake?— Je, alikuwa na dada pia?—

      Biblia inasema kwamba ndugu za Yesu walikuwa “Yakobo na Yosefu na Simoni na Yuda.” Yesu alikuwa na dada pia alipohubiri duniani. Kwa kuwa Yesu alikuwa mzaliwa wa kwanza, hao wote walikuwa wadogo wake.—Mathayo 13:55, 56; Luka 1:34, 35.

      Je, ndugu za Yesu walikuwa wanafunzi wake pia?— Biblia inasema kwamba mwanzoni ‘hawakumwamini.’ (Yohana 7:5) Hata hivyo, baadaye Yakobo na Yuda wakawa wanafunzi wake, na hata wakaandika vitabu vya Biblia. Unavijua vitabu ambavyo waliandika?— Ndiyo, ni barua ya Yakobo na ya Yuda.

  • Ndugu Zetu na Dada Zetu Ni Akina Nani?
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
    • Wakati huo ndugu za Yesu mwenyewe—Yakobo, Yosefu, Simoni, na Yuda—hawakuamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu. Inaelekea hawakuamini yale ambayo malaika Gabrieli alimwambia mama yao. (Luka 1:30-33)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki