-
Wanyama Wasiojulikana wa VietnamAmkeni!—2001 | Oktoba 22
-
-
Baadhi ya wanyama wasiojulikana wa Vietnam ni ng’ombe dume anayefanana na paa anayejulikana pia kama Vu Quang . Mnyama huyu aliyevumbuliwa mwaka wa 1992 katika hifadhi ya wanyama ya Vu Quang, ana uzito wa kilogramu 100 na urefu wa meta moja kufikia mabegani. Labda ni wa jamii ya ng’ombe, paa au mbuzi.
-
-
Wanyama Wasiojulikana wa VietnamAmkeni!—2001 | Oktoba 22
-
-
Ng’ombe dume aina ya “Vu Quang”
-