-
Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mnamo Februari 19, 2011, watu 210 walihudhuria programu ya kuweka wakfu ofisi iliyopanuliwa nchini Burkina Faso. Hotuba ya kuweka wakfu ilitolewa na John Kikot, kutoka makao makuu. Kazi ya kuhubiri nchini humo ilikuwa chini ya ofisi ya tawi ya Côte d’Ivoire hadi Mei 2011 wakati ofisi ya tawi ya Benin ilipochukua usimamizi wa kazi ya nchi ya Burkina Faso. Mwenendo mzuri wa ndugu zetu katika eneo la ujenzi ulimletea Yehova sifa nyingi. Mfanyakazi mmoja katika kampuni kubwa inayouza vifaa vya ujenzi alisema, “Hakukuwa na kelele. Hatujawahi kufanya kazi na watu watulivu na wenye furaha kama hawa.”
-
-
Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 32]
Ofisi ya Burkina Faso
[Picha katika ukurasa wa 32]
Ofisi ya tawi ya Chile
-