-
Jitihada ya Kutokeza Jamii KamilifuAmkeni!—2000 | Septemba 22
-
-
[Mchoro]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
CHEMBE
KIINI
CHEMBEUZI
DNA
MUUNGANO WA MISINGI
-
-
Jitihada ya Kutokeza Jamii KamilifuAmkeni!—2000 | Septemba 22
-
-
Mwili wa binadamu umefanyizwa kwa takriban chembe trilioni 100. Nyingi za chembe hizo zina kiini. Ndani ya kila kiini mna visehemu 46 vinavyoitwa chembeuzi. Kila chembeuzi ina molekuli moja iliyojipinda sana, inayoshabihi uzi ambayo huitwa DNA.
-