-
Kuhubiri na Kufundisha Duniani Kote2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
AMEISHI ZAIDI YA KARNE MOJA! Elin, ambaye ndiye mhubiri mwenye umri wa juu zaidi nchini Sweden, ana umri wa miaka 110—umri ambao Yoshua alifikia. (Yos. 24:29) Anaishi katika makao ya kuwatunza wazee na yeye hutumia kila nafasi kuzungumza na wageni au mtu yeyote anayekutana naye. Yeye huwaachia watu wengi vitabu. Wakati mmoja mzee fulani pamoja na binti yake walikuwa wakihubiri nyumba kwa nyumba kwenye ujirani wao, nao walimhubiria msichana mmoja aliyesema kwamba alikuwa amehubiriwa na Elin na kuachiwa kitabu. Mazungumzo mazuri yalifuatia.a
-
-
Kuhubiri na Kufundisha Duniani Kote2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
a Elin alikufa kabla ya kitabu cha mwaka kukamilishwa.
-