Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mama Wenye Afya, Watoto Wenye Afya
    Amkeni!—2009 | Novemba
    • [Blabu katika ukurasa wa 27]

      Kulingana na tarakimu zilizochapishwa mnamo Oktoba 2007, mwanamke mmoja hufa karibu kila dakika, yaani, wanawake 536,000 kwa mwaka, kwa sababu ya matatizo yanayohusianishwa na uja-uzito.—Hazina ya Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa

  • Mama Wenye Afya, Watoto Wenye Afya
    Amkeni!—2009 | Novemba
    • Likizungumza kuhusu matatizo yanayoweza kuwakumba akina mama, jarida Journal of the American Medical Women’s Association linasema kwamba “sababu kuu zinazowafanya akina mama wengi wafe wanapojifungua” ni kuvuja damu nyingi, mtoto kukaa vibaya tumboni, maambukizo, na kupanda sana kwa shinikizo la damu. Hata hivyo, matibabu yanayofanya kazi yanajulikana sana na katika visa vingi “matibabu ya kisasa . . . hayahitaji matumizi ya vifaa tata,” linasema jarida hilo.

      Pia, watoto wengi wanaweza kufaidika ikiwa matibabu yanapatikana kwa urahisi. Jarida UN Chronicle linaripoti kwamba “asilimia 66 ya watoto wanaokufa wanapozaliwa vingeweza kuzuiwa ikiwa akina mama na watoto hao” wangepata matibabu “yanayojulikana sana, yanayofaa, na yasiyohitaji vifaa tata.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki