Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jenga Utu wa Mtoto Wako!
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Februari 15
    • Francisco na Rosa walio na watoto wawili wachanga wanaeleza jinsi wanavyofuata ushauri huo.b

      “Mbali na mazungumzo ya kawaida, sisi hujitahidi kuongea na kila mtoto kwa angalau dakika 15 kila siku. Tunapotambua kwamba wana tatizo fulani, sisi hutumia muda mrefu zaidi kuongea nao. Kwa mfano, hivi majuzi mwana wetu mwenye umri wa miaka mitano alirudi nyumbani kutoka shuleni na kutuambia kwamba hamwamini Yehova. Inaonekana kwamba mwanadarasa mwenzake alikuwa amemfanyia mzaha na kumwambia kwamba hakuna Mungu.”

  • Jenga Utu wa Mtoto Wako!
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Februari 15
    • Phyllis na Paul ambao wamefaulu kulea watoto watano vizuri, wamejionea jambo hilo.

      Phyllis akumbuka: “Ijapokuwa kila mtoto alikuwa na utu tofauti na wale wengine, kila mmoja wao alitaka kufanya kama alivyopenda. Haikuwa rahisi, lakini hatimaye walielewa kwamba hawawezi kufuata mapendezi yao sikuzote.” Mume wake Paul anasema hivi: “Tuliwaeleza sababu za maamuzi yetu iwapo walikuwa na umri wa kutosha kuzielewa. Kwa upole, tuliwafundisha kuheshimu mamlaka ambayo Mungu ametupatia.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki