-
Kujifunza Ustadi wa Kuwa na BusaraMnara wa Mlinzi—2003 | Agosti 1
-
-
Kujifunza Ustadi wa Kuwa na Busara
PEGGY alimwona mwana wake akisema na ndugu yake mdogo kwa ukali. Alimwuliza: “Je, unafikiri hiyo ndiyo njia nzuri zaidi ya kuongea na ndugu yako? Ona jinsi ambavyo amehuzunika!” Kwa nini alisema hivyo? Alikuwa akijaribu kumfundisha mwana wake ustadi wa kuwa na busara na kujali hisia za wengine.
-
-
Kujifunza Ustadi wa Kuwa na BusaraMnara wa Mlinzi—2003 | Agosti 1
-
-
Wazazi wanapaswa kuwasaidia watoto wao wasitawishe huruma, kwa kuwa sifa hiyo itawachochea kutenda kwa busara. Mwana wa Peggy aliyetajwa mwanzoni mwa makala hii, alitambua jinsi alivyomwumiza ndugu yake alipoona uso wake umebadilika, amenuna, na kulengwa-lengwa na machozi. Kama vile mama yake alivyotazamia, mwana huyo alijuta na akaamua kubadilika. Wana hao wawili wa Peggy walitumia ustadi waliojifunza utotoni, na baadaye wakawa walimu wa habari njema na wachungaji wenye matokeo katika kutaniko la Kikristo.
-