Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuhuburi na Kufundisha Ulimwenguni Pote
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Chile

      Katika eneo lililo huko Cape Horn, kuna mwanamke ambaye anajifunza Biblia. Huenda hilo ndilo funzo la Biblia lililo eneo la kusini kabisa duniani. Yeye ni mke wa mtunzaji wa mnara wa taa katika eneo hilo la mbali. Mwanamke huyo alipokuwa Punta Arenas, dada mmoja aliyekuwa painia msaidizi alijifunza naye Biblia kwa majuma manne mpaka mwanamke huyo alipohamia Cape Horn. Tangu wakati huo, funzo hilo limeongozwa kupitia simu. Anafanya maendeleo mazuri.

  • Kuhuburi na Kufundisha Ulimwenguni Pote
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Ramani/Picha katika ukurasa wa 48]

      (Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

      [Picha]

      Mnara wa taa huko Cape Horn

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki