-
Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Miongoni mwa nchi za Mashariki za kwanza kupelekewa wamishonari waliozoezwa kwenye Shule ya Gileadi ilikuwa China. Harold King na Stanley Jones waliwasili katika Shanghai katika 1947; Lew Ti Himm, katika 1949. Wale mapainia watatu Wajerumani waliokuwa wameanza kazi huko katika 1939 walikuwapo ili kuwalaki.
-
-
Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Mapainia kutoka Australia na Ulaya walitoa ushahidi katkia Shanghai, Peking, Tientsin, Tsingtao, Pei-tai-ho, Chefoo, Weihaiwei, Canton, Swatow, Amoy, Foochow, Hankow, na Nanking wakati wa miaka ya 1930 na 1940. Wengine walikuja kupitia Babara ya Burma na kutoa ushahidi katika Pao-shan, Chunking, Ch’eng-tu. Mapainia wenyeji walitumikia katika Shensi na Ningpo
-