Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Miongoni mwa nchi za Mashariki za kwanza kupelekewa wamishonari waliozoezwa kwenye Shule ya Gileadi ilikuwa China. Harold King na Stanley Jones waliwasili katika Shanghai katika 1947;

  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Stanley Jones na Harold King walikamatwa katika Oktoba 14, 1958. Kabla ya kuletwa kuhukumiwa, walizuiliwa kwa miaka miwili, wakati ambapo walihojiwa daima. Wakati hatimaye walipopelekwa mahakamani katika 1960, walihukumiwa vipindi virefu vya kukaa gerezani.

  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha]

      Wamishonari walizoezwa Gileadi, kama vile Stanley Jones (kushoto) na Harold King (Kulia), walitumikia hapa kuanzia 1947 hadi 1958, pamoja na familia za Mashahidi wenyeji wenye bidii

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki