Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sayari Yetu Dhaifu—Vipi Kuhusu Wakati Ujao?
    Amkeni!—1996 | Januari 8
    • Uharibifu wa tabaka la ozoni hudhihirisha tatizo hilo. Kuchelewa mno kufikia Machi 1988 mwenyekiti wa kampuni fulani kuu ya kemikali ya Marekani alitaarifu: “Kwa sasa, uthibitisho wa kisayansi hauonyeshi uhitaji wa haraka ya kupunguza mitoko ya CFC.”

      Hata hivyo, kampuni hiyohiyo ilipendekeza kuondosha kabisa klorofluorokaboni (CFC). Je, lilikuwa badiliko la maoni? “Haikuhusu kwa vyovyote kama mazingira yalikuwa yakiharibiwa au la,” akaeleza Mostafa Tolba, mkurugenzi-mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP). “Hiyo [ilihusu] ni nani atapata marupurupu [ya kiuchumi].” Sasa wanasayansi wengi wanafahamu kwamba kuharibiwa kwa tabaka la ozoni ni mojapo misiba mibaya zaidi iliyofanyizwa na mwanadamu katika historia.

  • Sayari Yetu Dhaifu—Vipi Kuhusu Wakati Ujao?
    Amkeni!—1996 | Januari 8
    • Kulingana na makadirio ya UNEP, yawezekana kwamba upotezo wa ozoni kufikia mwisho wa karne hii hatimaye utasababisha mamia ya maelfu ya visa vipya vya kansa ya ngozi kila mwaka. Tokeo kwa mimea na uvuvi bado halijulikani, lakini latazamiwa kuwa kubwa mno.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki