Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo na Wewe
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na, tazama! mimi ninakuja upesi. Mwenye furaha ni yeyote anayeshika maneno ya unabii wa hati-kunjo hii.’” (Ufunuo 22:6, 7, NW)

  • Ufunuo na Wewe
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Akisema katika jina la Yesu, malaika anajulisha wazi kwamba Yesu anakuja karibuni, “upesi.” Huyo lazima awe ni Yesu akija “kama mwivi” kuharibu maadui wa Yehova na kuleta upeo mtukufu na wenye furaha wa Ufunuo. (Ufunuo 16:15, 16, NW) Kwa hiyo, imetupasa sisi tupatanishe maisha zetu na maneno ya “hati-kunjo hii,” Ufunuo, ili tutamkwe kuwa wenye furaha wakati huo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki