-
Ni Nini Kilicho Nyuma ya Sayari?Amkeni!—1999 | Julai 22
-
-
Kufikia mwaka wa 1705, Edmond Halley alikuwa amehakikisha kwamba nyotamkia huzunguka jua kwa kufuata njia ndefu za duara-dufu. Zaidi ya hayo, alisema kwamba nyotamkia zilizotokea katika mwaka wa 1531, 1607, na 1682 zilikuwa na mitupo ya angani iliyofanana na zilitofautishwa na vipindi vya kawaida vya miaka 75 hivi. Halley alidokeza kwa usahihi kwamba kila jambo lililoonekana lilikuwa la nyotamkia ileile inayozunguka, baadaye iliitwa Nyotamkia ya Halley.
-
-
Ni Nini Kilicho Nyuma ya Sayari?Amkeni!—1999 | Julai 22
-
-
Picha za karibu za Nyotamkia ya Halley zilizopigwa na chombo cha anga cha Giotto mnamo 1986 huonyesha michirizi ya gesi na vumbi ikitoka kwenye nyotamkia hiyo. Utokezaji huo hufanyiza kichwa chenye kung’aa cha nyotamkia na mkia ambao huonekana kutoka duniani.
-
-
Ni Nini Kilicho Nyuma ya Sayari?Amkeni!—1999 | Julai 22
-
-
4. Nyotamkia ya Halley mnamo 1985
5. Nyotamkia ya Halley mnamo 1910
6. Michirizo ya gesi na vumbi ikitoka kwenye Nyotamkia ya Halley
-