Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Mishonari wote waliokuwa Brazzaville na Pointe-Noire walikuwa wamehamishwa kwa sababu ya vita. Baadhi yao walirudi makwao huko Uingereza na Ujerumani, na wengine walienda Benin na Côte d’Ivoire. Hali ilipotulia kidogo, baadhi yao walirudia migawo yao huko Kongo (Brazzaville). Isitoshe, mishonari saba walitarajiwa kuwasili kutoka Ufaransa mnamo Desemba 1998. Eddy na Pamela May, mishonari wenye uzoefu, waliokuwa wakitumikia katika ofisi ya tawi ya Kinshasa, walitumwa Brazzaville, na makao mapya ya mishonari yakafunguliwa.

      Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe Vyazuka Tena

      Mwaka uliofuata, vita vya wenyewe kwa wenyewe vilizuka tena Brazzaville. Kwa mara nyingine tena, maelfu waliuawa kutia ndani Mashahidi kadhaa. Mishonari waliokuwa wamefika majuzi nchini, walipelekwa hadi makao ya mishonari katika nchi jirani ya Kamerun. Ingawa kulikuwa na uvumi kwamba vita vingefika jiji la pwani la Pointe-Noire, mishonari watatu walibaki huko. Hatimaye, vita hivyo viliisha mnamo Mei 1999.

  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • kutia ndani mishonari 15, walikuwa wakijitahidi kwa bidii kuwasaidia wengi kujifunza kweli itakayowaweka huru.—Yoh. 8:31, 32.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki