-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Baadaye, baadhi ya wanafunzi kama vile Noé Mikouiza na Simon Mampouya, walipata mapendeleo ya kuwa waangalizi katika tengenezo la Yehova.
-
-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
Noé Mikouiza, mmoja wa wanafunzi kutoka kile chuo cha ufundi anakumbuka swali ambalo liliwatatanisha. Waliuliza: “Je, ni vibaya kunywa divai?”
-
-
Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
-
-
[Picha katika ukurasa wa 138]
Kikundi cha awali cha wanafunzi wa Biblia mwaka wa 1949, kuanzia kushoto hadi kulia: Jean-Seth Mountsamboté, Timothée na Odile Miemounoua, na Noé Mikouiza
-