Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Januari 1939, gazeti Consolation (ambalo leo huitwa Amkeni!) lilichapishwa katika Kiafrikana kwa mara ya kwanza. Ndilo pia gazeti la kwanza kuchapishwa na Mashahidi wa Yehova nchini Afrika Kusini. Herufi zilipangwa kwa mkono, kazi iliyochukua muda mrefu.

  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • MAENDELEO IJAPOKUWA VIKWAZO

      Kwa sababu ya uchochezi wa viongozi wa dini zinazodai kuwa za Kikristo na shuku ya serikali kufuatia msimamo wetu wa kutokuwamo, nakala za wale waliokuwa wameandikisha magazeti ya Mnara wa Mlinzi na Consolation zilitwaliwa mwaka wa 1940 na wenye mamlaka waliokuwa wameweka vikwazo. Tangazo rasmi la kupiga marufuku vichapo hivyo likatolewa. Magazeti na vitabu kutoka ng’ambo vilitwaliwa mara tu vilipowasili.

  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 87]

      Magazeti ya “Consolation” na “Mnara wa Mlinzi” ya kwanza kuchapishwa katika Kiafrikana

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki