-
Yote Hayo Hugharimiwaje?Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Mapema sana kama toleo la pili la Watch Tower, katika Agosti 1879, Ndugu Russell alitaarifu hivi: “Twaamini ‘Zion’s Watch Tower’ lina YEHOVA akiwa mtegemezaji walo, na inapokuwa hivyo halitaombaomba wala kusihi wanadamu walitegemeze. Wakati Yeye asemaye: ‘Dhahabu na fedha zote za milimani ni zangu,’ ashindwapo kuandaa fedha zihitajiwazo, sisi tutaelewa kwamba ni wakati wa kuacha kuchapa.”
-
-
Yote Hayo Hugharimiwaje?Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Mapema sana kama 1894, wakati Watch Tower Society ilipotuma wasemaji wasafirio, ilitoa tangazo hili kwa manufaa ya kila mtu: “Na ieleweke tokea mwanzo kwamba kukusanya michango au njia nyinginezo za kuombaomba fedha hazikubaliwi wala kukubaliwa na Sosaiti hii.”
-