-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Kaka yake Eric aliacha kazi kwenye Benki ya Barclay akajiunga na John katika huduma ya wakati wote Ufaransa; baadaye, yeye vilevile alitumikia katika Hispania na Ireland na akashiriki katika kazi ya mishonari katika Rhodesia Kusini (sasa ni Zimbabwe) na Afrika Kusini.
-
-
Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 430]
Kufikia 1992, Eric Cooke na ndugu yake John (aketiye) kila mmoja alikuwa amekuwa katika utumishi wa wakati wote kwa zaidi ya miaka 60, wakifurahia mambo yaliyoonwa yenye kusisimua katika Ulaya na Afrika
-