-
Rekodi ya Kale ya Uumbaji—Je, Unaweza Kuitumaini?Je, Kuna Muumba Anayekujali?
-
-
Kile ambacho Mungu alianza kufanya katika jioni ya mfano ya kipindi cha uumbaji, polepole kikawa wazi, au dhahiri, baada ya asubuhi ya mfano ya “siku” hiyo.b Pia, kile kilichoanzishwa katika kipindi kimoja hakikuwa lazima kiwe kamili kipindi kifuatacho kilipoanza. Kwa mfano, nuru ilitokea polepole katika “siku” ya kwanza, lakini ilikuwa hadi kipindi cha nne cha uumbaji ambapo jua, mwezi, na nyota zingeweza kuonekana wazi.—Mwanzo 1:14-19.
-
-
Rekodi ya Kale ya Uumbaji—Je, Unaweza Kuitumaini?Je, Kuna Muumba Anayekujali?
-
-
b Waebrania walihesabu siku yao kuanzia jioni hadi machweo yafuatayo.
-